26 episodios
- Mazungumzo na Mzee Hokororo, Mtumishi Mstaafu wa Idara ya Habari-MAELEZO anayesimulia historia ya Idara, safari ya sekta ya habari nchini mpaka kuanzishwa kwa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na safari yake ya umahiri katika upigaji picha iliyomuwezesha kufanya kazi na marais wa awamu tofauti kuanzia Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere hadi awamu ya sita.
Support the show
Msemaji Mkuu wa Serikali - Dkt. Lugano Wilson, Daktari Bingwa wa usingizi na ganzi tiba kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodona anatupitisha zaidi kwenye hduma hii kuanzia historia yake, sababu za kuanzishwa kwa huduma hii ya uzazi, faida yake, malengo ya huduma hii kwa miezi sita ya kwanza na usalama wa huduma hii kitaalamu ikifahamika epidural.
Support the show
Msemaji Mkuu wa Serikali - Mazungumzo na mkaguzi wa droni (Drone Inspector), Bw. Ibrahim Abdallah kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) ambaye ameweka wazi kuhusu taratibu za usajili wa droni na utaratibu wa kufuata ili mtu aweze kupata leseni ya kurusha droni.
Unaweza kutazama Episode hii pia kupitia chaneli ya Youtube "Maelezo TV".
Support the show
Msemaji Mkuu wa Serikali - Mazungumzo na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Gerson Msigwa kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa kama vile maandalizi ya AFCON 2027, mipango ya serikali kuhusu mvua za El Nino, maadili na miradi mbalimbali ya maendeleo nchini.
Support the show
Msemaji Mkuu wa Serikali
Más podcasts de Educación
Podcasts a la moda de Educación
Acerca de MAELEZO PODCASTS
Sikiliza MAELEZO PODCASTS (Podcasts za Kiswahili kutoka Idara ya Habari MAELEZO, Tanzania) kupata taarifa na matukio mbalimbali nchini Tanzania. Idara ya Habari (MAELEZO) ipo chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ikiwa na jukumu la kutoa taarifa kuhusu utekelezaji wa Sera, mipango na miradi ya maendeleo vinavyotekelezwa na Serikali kwa wananchi, kusimamia vyombo vya habari hasa magazeti na machapisho na kuishauri Serikali juu ya Sera na Sheria za habari.
Sitio web del podcastEscucha MAELEZO PODCASTS, Martha Debayle y muchos más podcasts de todo el mundo con la aplicación de radio.net

Descarga la app gratuita: radio.net
- Añadir radios y podcasts a favoritos
- Transmisión por Wi-Fi y Bluetooth
- Carplay & Android Auto compatible
- Muchas otras funciones de la app
Descarga la app gratuita: radio.net
- Añadir radios y podcasts a favoritos
- Transmisión por Wi-Fi y Bluetooth
- Carplay & Android Auto compatible
- Muchas otras funciones de la app


MAELEZO PODCASTS
Escanea el código,
Descarga la app,
Escucha.
Descarga la app,
Escucha.

























